|
|
 |
 |
| |
KADI NA MIALIKO
Invitation cards
- Anza kufikiria orodha ya wageni wako wageni wako
- Orodhesha wageni wako, chukua majina toka kwa wazazi wa pande
zote mbili na yenu pia
- Kamilisha orodha yako ya wageni, umetumia msaidizi?
- Kuna maneno maalumu unataka kuandika kwenye kadi? Anza kuyaandaa
- Nunua au tengeneza kadi za mwaliko, hawa wanaweza kukusaidia
- Tuma ujumbe kwa watu walioko katika orodha yako kuhusu siku
yako ya harusi, ili wasifanye mipango mingine katika siku hiyo
(Save this date)
- Tuma kadi za mwaliko walau mwezi mmoja kabla ya harusi
- Andaa ratiba ya harusi na kuiprint, inaweza kuambatana na
kadi za mwaliko
Thank you notes/chocolates/ handkerchiefs
PETE
- Anza kutafuta pete unazotaka
- Amua ni pete zipi, zinapatikana duka gani? fanya vipimo
- Nunua pete
|
|
|
|
| womens pants, wedding dresses, wedding pictures, women shoes, wedding accessories, women nails, women hair, women message
women send off, good wedding shoes and hotels |
| Any use of materials or photographs from HarusiYangu is strictly prohibited |
| © 2007.
All Rights Reserved |
Designed and maintained by Bomba
Designs |
|
|